POS rahisi kwa kila duka

Jua mauzo na faida yako kila siku.

Faida POS ni kaunta rahisi kwa biashara yako. Uza, chapisha risiti na uone pesa yako kwenye simu au mashine ya kaunta.

Kuanzia TZS 50,000 kwa mwezi

Kuendesha duka bila mfumo ni kugumu

Bonyeza kitufe uone tofauti.

Bila Faida POSUkiwa na Faida POS

Pesa inapotea kaunta

Kila mauzo yanahifadhiwa na jina la muuzaji

Stoo inaisha bila taarifa

Unapata ujumbe kabla stoo haijaisha

Hujui faida yako halisi

Ona faida ya leo kwenye simu yako

Wateja wanasubiri kwenye foleni ndefu

Skani, lipa na chapisha kwa sekunde chache

Wateja wanasahau madeni yao

Wanapata ukumbusho kwa SMS

Kumbukumbu zinapotea kwenye madaftari

Kila kitu kinahifadhiwa salama mtandaoni

Kuanza ni rahisi

  1. 1

    Tueleze kuhusu duka lako

    Jibu maswali machache au ongea nasi WhatsApp.

  2. 2

    Tunakufungia

    Tunaingiza bidhaa zako na kuunganisha printa.

  3. 3

    Anza kuuza

    Wafanyakazi wako wanajifunza ndani ya saa moja.

Bei unayoweza kumudu

Anza kidogo. Ongeza zaidi biashara yako ikikua.

Printa ya risiti ya Bluetooth

Starter

TZS50,000/mwezi

Gharama ya kuanzisha (mara moja): TZS 50,000

  • Duka 1 na watumiaji 3
  • Inafanya kazi kwenye simu au mashine ya kaunta
  • Mauzo, stoo na risiti
  • Ripoti ya faida kila siku
  • Msaada kutoka timu yetu
Anza sasa Ona chaguo zaidi

Uko tayari kuona faida yako kila siku?

Ongea nasi leo. Tunajibu haraka WhatsApp.

Au acha namba yako

Tutakupigia simu.