Demo hai
Jaribu Faida POS kwenye kifaa unachotaka
Chagua kifaa, gusa bidhaa, lipisha na chapisha. Kila kitu kinafanya kazi kwenye kivinjari chako.
- 1Ongeza bidhaa — gusa au skani
- 2Lipisha na chagua njia ya malipo
- 3Risiti inachapishwa kwa Bluetooth
- 4Stoo inabadilika na taarifa zinaingia
14:32
Faida POS
UzaBT-58
Tafuta au skani barcode
Mauzo ya sasa
- Gusa bidhaa kuiongeza
Sukari 1kg iliyopo stoo8
Gusa bidhaa wewe mwenyewe.
Hujui unahitaji nini?
Jibu maswali 8 mafupi kuhusu biashara yako. Tunapendekeza kifurushi sahihi na kukuonyesha bei kamili. Hakuna haja ya kupigiwa simu na muuzaji.
Anza kutafuta kifurushi